Who Are We? Sisi ni Nani?

Tanzania Health Awareness and Support Foundation (THA- Support Foundation) is a non-profit organization that seeks to promote awareness, and to bring all the different stakeholders together in an effort to greatly make the community understand the negative impacts of use of traditional alcohol and drugs to those using it and to the national at large, and provide economic and social support to this affected population. Tanzania Health Awareness and Support Foundation (THA- Support Foundation) ni shirika lisilo la kiserikali linalolenga kuhamasisha na kuleta pamoja wadau mbalimbali katika jitihada za kufanya jamii kwa ujumla kuelewa madhara ya matumizi ya pombe za jadi na dawa za kulevya katika maeneo ya Changombe kwa watumiaji na taifa walioathirika.


What We Do Nini Tunafanya

  • Creating awareness on the negative effects of traditional alcohol. Kujenga ufamanu juu ya athari mbaya za pombe za kienyeji.
  • Supporting children under vulnerable conditions. Kusaidia watoto walio katika mazingira hatarishi.
  • Training youths on Enterprises. Kutoa mafunzo kwa vijana juu ya ujasiriamali.
  • Proving rehabilitation services to the affected population/youths. Kutoa huduma za kurekebisha tabia kwa watu walioathirika na pombe za kienyeji.

  • Our Mission Utume Wetu

    To enhance the societies to address their socio-economic development in a sustainable way through encouraging abstinence from use of traditional alcohol and provide treatment, dietary needs, clothing, self-help activities and education support to the affected groups. Kuboresha jamii ili kushughulikia maendeleo yao ya kijamii na kiuchumi kwa njia endelevu kwa kuhamasisha kujiepusha na matumizi ya pombe za jadi na kutoa matibabu, mahitaji ya chakula, nguo, shughuli za kujitegemea na msaada wa elimu kwa vikundi vilivyoathirika.

    Our Projects Miradi Yetu

    Reaching the needy (schools and home)

    This project is aiming at helping families that are affected with excessive use of traditional alcohol...

    Read more Soma zaidi

    Train farming

    The project focuses on empowering youth in agripreneurship that involve agriculture and entrepreneurship for sustainable development...

    Read more Soma zaidi

    Organize Football Bonanza

    The event focuses on creating awareness to the community members on the negative impact of the use of traditional alcohol...

    Read more Soma zaidi

    View All Tazama Yote