Our Services Huduma Zetu
Create awareness on the negative effects of traditional alcohol. Kuelimisha jamii kuhusu madhara ya pombe za jadi.
Support children under vulnerable conditions. Kusaidia watoto wanaoishi katika mazingira magumu.
Train youths on Enterprises Kutoa mafunzo kwa vijana kuhusu ujasiriamali.
Provide rehabilitation services to the affected population/youths. Kutoa huduma za kurekebisha tabia kwa jamii.